Njia 5 za Kuulinda Mwili Wako na Maradhi

Rated 4.00 out of 5 based on 1 customer rating
(1 customer review)

TZs 19,999

+ Free Shipping

Inawezekana kabisa kuukinga mwili na maradhi mbalimbali lakini uwezekano huu unaanzia kwenye kupata elimu sahihi ya afya.
Elimu ya afya, mara nyingi, ndio hukusaidia kujikinga na maradhi kwa kufuata utaratibu unaotakiwa.

Category:

Asilimia 80 ya maradhi ya mwili husababishwa na sisi wenyewe, 20% iliyobaki huweza kutokea
kimazingira au kutokana na matatizo ya vinasaba pamoja na magonjwa ya kurithi mfano kansa, kuumwa kichwa, kutokwa na damu kila mara, maradhi ya moyo, magonjwa ya akili na kadhalika.

Kwa maana hiyo ukiweza kupambana na hii asilimia 80, kwa kiasi kikubwa unaweza kuukinga
mwili wako na maradhi mengi.

 

Kuhusu

Mwandishi: Dr. Ansbert Mutashobya

Mhariri: LEO Kidijitali

Mchapishaji: Abite Medical and Health Services Ltd.

1 review for Njia 5 za Kuulinda Mwili Wako na Maradhi

  1. Rated 4 out of 5

    Ansbert Mutashobya

    Mwili wako ndio kila kitu, hivyo ni lazima ulindwe.
    Unadhani Unajua namna ya kulinda mwili wako?
    Hapana hujajua mpaka some Kitabu hiki.
    Toka nimeanza kuifanyia kazi mbinu hizi basi nimefanikiwa kuumwa mara moja tu ndani ya mwaka mzima…
    Ni lazima uulinde mwili wako na maradhi, Sasa unaulindaje na kwa kiasi gani?
    Majibu yote yapo hapa.

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart