Duka Nambari 1 Tanzania

Kwa Manunuzi ya Vifaa Tiba vya Physiotherapy & Rehabilatation

Ubora wa Hali ya Juu

Vifaa vyetu vyote vimethibitishwa kimataifa.

Urahisi wa Matumizi

Rahisi kutumia hata ukiwa nyumbani.

Huduma ya Kuongea na Daktari

Ushauri wa kitaalamu unapatikana masaa 12 kwa siku, kila siku (kasoro Jumapili)

Vifaa Tiba vya Physiotherapy

Kwa ajili ya kuboresha mobility yako kwa kuimarisha coordination, misuli, pamoja na mnyumbuliko wa viungo vyako.

Vifaa Tiba vya Rehabilitation

Vitakavyokusaidia kupunguza hatari zaidi ya majeraha, kukusaidia kupona haraka, kukupa nguvu ya mwili na kurahisisha ufuatiliaji wa maendeleo yako.

Huduma Yetu Mpya

Kwa kila kifaa utakachonunua, utapata nafasi ya kuongea na daktari wetu kwa mwezi mzima!

Unahitaji msaada kwenye kuchagua kifaa sahihi?

Tunaelewa unaweza kupata changamoto kwenye kuchagua kifaa sahihi kutokana na baadhi ya vifaa kufanya kazi moja.

Daktari wetu yupo kukuondolea changamoto hii! Unaweza kutupigia muda wowote na kupatiwa suluhisho ndani ya dakika chache.

Vifaa Vilivyonunuliwa Zaidi Mwezi Uliopita

Kutokana na mahitaji mbalimbali, hivi ndo vifaa vilivyotoka zaidi kwenye duka letu la mtandaoni:

Famillia yako ina mgonjwa wa kukaa kitandani muda wote?

Abite Nyumbani tuna package ya mgonjwa wako! Package hii inajumuisha vifaa vya Air Mattress, Exercise ball, Commode chair, pamoja na huduma ya kuongea na daktari.

Shopping Cart