Asilimia 80 ya maradhi ya mwili husababishwa na sisi wenyewe, 20% iliyobaki huweza kutokea
kimazingira au kutokana na matatizo ya vinasaba pamoja na magonjwa ya kurithi mfano kansa, kuumwa kichwa, kutokwa na damu kila mara, maradhi ya moyo, magonjwa ya akili na kadhalika.
Kwa maana hiyo ukiweza kupambana na hii asilimia 80, kwa kiasi kikubwa unaweza kuukinga
mwili wako na maradhi mengi.
Kuhusu
Mwandishi: Dr. Ansbert Mutashobya
Mhariri: LEO Kidijitali
Mchapishaji: Abite Medical and Health Services Ltd.
Ansbert Mutashobya –
Mwili wako ndio kila kitu, hivyo ni lazima ulindwe.
Unadhani Unajua namna ya kulinda mwili wako?
Hapana hujajua mpaka some Kitabu hiki.
Toka nimeanza kuifanyia kazi mbinu hizi basi nimefanikiwa kuumwa mara moja tu ndani ya mwaka mzima…
Ni lazima uulinde mwili wako na maradhi, Sasa unaulindaje na kwa kiasi gani?
Majibu yote yapo hapa.