Ngozi yako ndiyo kiungo kikubwa zaidi katika mwili. Kama ngozi yako ingetandazwa sakafuni ukubwa wake unaweza kufikia square meter 1.5. Kwa maana hiyo muonekano wako wa kwanza ni ngozi na ndio hukutambulisha kwa haraka.
Kuhusu
Mwandishi: Dr. Ansbert Mutashobya
Mhariri: LEO Kidijitali
Mchapishaji: Abite Afya
Reviews
There are no reviews yet.