Siku ukiamka asubuhi huna gari, huna nyumba, huna mke au mali zako zote, mtaji wako pekee utakaobaki ni afya yako. Ukiwa na afya njema basi utaweza kusimama tena na kuanza kutafuta; na uwezekano wa kupata tena upo.
Kuhusu:
Mwandishi: Dr. Ansbert Mutashobya
Mhariri: LEO Kidijitali
Mchapishaji: Abite Medical and Health Services
Reviews
There are no reviews yet.