Kazi ya Medical Air Mattress
Kusaidia kuzuia vidonda vya mgandamizo (pressure sores) kwa wagonjwa waliolazwa muda mrefu au wasio na uwezo wa kuzunguka.
Godoro hili hufanya kazi kwa kusambaza shinikizo la mwili kwa usawa kupitia teknolojia ya mzunguko wa hewa, ambayo husaidia kuboresha mzunguko wa damu, kupunguza maumivu, na kuongeza comfort kwa mgonjwa.
Ni suluhisho muhimu kwa wagonjwa wa muda mrefu, wazee, au wale wanaopata nafuu (recovering) kutokana na upasuaji au majeraha.
Reviews
There are no reviews yet.