Kazi ya Knee Cap
Kusaidia na kuimarisha utulivu wa goti kwa wagonjwa walio na majeraha, maumivu, au hali zinazodhoofisha kama vile arthritis.
Husaidia kupunguza shinikizo kwenye goti, kuzuia movement zisizo salama, na kuimarisha mzunguko wa damu kwa kutumia joto na mgandamizo.
Pia ni muhimu katika kuharakisha mchakato wa uponyaji na kusaidia wagonjwa kurudi katika shughuli zao za kila siku kwa usalama zaidi.
Reviews
There are no reviews yet.