Kazi Kuu ya Gym Ball
Mpira wa mazoezi (gym ball) ni kifaa muhimu katika tiba ya mwili na urekebishaji wa misuli/joint (rehabilitation), kinachotumika kuboresha usawa wa mwili, uimara wa misuli, na uratibu wa mwili.
Hutumika kusaidia wagonjwa wanaopona kutokana na majeraha, hasa ya mgongo, kiuno, na magoti, kwa kusaidia kufanya mazoezi ya kuboresha mkao sahihi wa mwili, kuimarisha misuli ya msingi (core muscles), na kuongeza kiwango cha movement bila kusababisha shinikizo kubwa kwa viungo.
Reviews
There are no reviews yet.