Kazi ya Gel Heel Strip
Kupunguza maumivu na msongo kwenye visigino wakati wa kutembea au kusimama kwa muda mrefu. Kifaa hiki hutoa msaada wa mto laini unaochukua mshtuko, kusaidia kupunguza shinikizo kwenye maeneo yaliyoathirika na kukuza uponyaji wa majeraha madogo au hali kama vile ugonjwa wa “plantar fasciitis.”
Pia husaidia kuboresha usawa na na kuleta comfort kwa watumiaji wenye matatizo ya visigino au nyayo.
Reviews
There are no reviews yet.