Kazi ya Elastic Wrist Splint
Kusaidia kuimarisha na kulinda kifundo cha mkono kilichoumia au kilicho dhaifu. Huimarisha viungo kwa kupunguza movement zisizohitajika, hivyo kusaidia kupunguza maumivu, kuzuia madhara zaidi, na kuruhusu uponaji wa haraka.
Pia, inaweza kutumika kusaidia wagonjwa wenye hali kama vile arthritis, majeraha ya misuli, au matatizo ya neva.
Reviews
There are no reviews yet.