Kazi ya Duke Cohesive Bandage
Kutoa msaada wa kudumu kwa misuli na viungo vilivyojeruhiwa, huku ikisaidia kupunguza maumivu na uvimbe.
Bandeji hii ina uwezo wa kushikamana yenyewe bila kutumia gundi au vipande vya ziada, hivyo inafaa kwa kubana majeraha, kuimarisha viungo vilivyo dhaifu, na kuwezesha movement za kawaida wakati wa mchakato wa kupona.
Pia ni nyepesi, rahisi kutumia, na inaruhusu hewa kuingia hivyo kuifanya kuwa chaguo bora kwa wagonjwa wa nyumbani na wataalamu wa physiotherapy.
Reviews
There are no reviews yet.