Kazi ya Ankle Brace
Kutoa msaada, utulivu, na ulinzi kwa kifundo cha mguu kilichojeruhiwa au dhaifu. Kifaa hiki husaidia kupunguza maumivu, kuzuia kuumia zaidi, na kuwezesha mchakato wa uponyaji kwa kudhibiti mwendo usiofaa wa kifundo cha mguu.
Pia, kinafaa kwa watu wanaopona baada ya upasuaji (recovery from surgery), wenye matatizo ya kifundo kama vile arthritis, au wanariadha wanaotaka kuzuia majeraha wakati wa mazoezi.
Reviews
There are no reviews yet.