Uvutaji wa sigara huanza kama starehe nyingine. Changamoto inakuja pale uteja wake unapokuchukua. Kupitia kitabu hiki utajifunza kwanini ni ngumu kuacha sigara, madhara yake, na njia gani unaweza kutumia kuukwepa uteja huu ungali bado mdogo.
Kuhusu:
Mwandishi: Dr. Ansbert Mutashobya
Mhariri: LEO Kidijitali
Mchapishaji: Abite Medical and Health Services
Ansbert Mutashobya –
Nchini Tanzania, watu 3 kati ya 10 wanavuta sigara. Pia 7 kati ya 10 wanavuta wanatamani kuacha Lakini wanashindwa.
Wewe uko kundi gani?
Basi tuseme nawewe unatamani kuanza kuvuta, Lakini Unajua gharama ya kuvuta sigara kiafya na kiuchumi?
Nimeandika Kitabu hiki kwa ajili yako wewe ambaye uko najiapanda.
Nakushauri kisome Kwanza kabla hujafanya maamuzi, utanishukuru Baadaye.
Pata nakala yako sasa.