Hiki Ndicho Hutokea Ukiacha Kunywa Pombe kwa Siku 30

TZs 9,999

+ Free Shipping

Kupitia kitabu hiki utajifunza mabadiliko katika afya yako yatakayotokana na uamuzi huu wa busara.

Category:

Kuacha kunywa pombe ni hatua muhimu inayoweza kuleta mabadiliko chanya katika afya yako ya kimwili na kiakili.

Hii siyo tu inarejesha nguvu mwilini wako, bali pia inaweza kuwa mwanzo wa safari ya kuboresha maisha yako kwa ujumla.

 

Kuhusu

Mwandishi: Dr. Malonja Magaluda

Mhariri: LEO Kidijitali

Mchapishaji: Abite Medical and Health Services Ltd.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hiki Ndicho Hutokea Ukiacha Kunywa Pombe kwa Siku 30”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart