Kitabu hiki kinalenga kumfundisha kijana umuhimu uliojificha kuhusu utunzaji shahawa (sperms).
Kupitia kitabu hiki utaweza kuona ni jinsi gani mwili wako unaweza kutengeneza akili na nguvu ya ziada kwa kujizuia kufanya tendo la ndoa kwa muda stahiki.
Kuhusu:
Mwandishi: Ansbert Mutashobya, MD.
Mhariri: LEO Kidijitali
Mchapishaji: Abite Medical and Health Services
Reviews
There are no reviews yet.